delina 1st

delina  1st

delina 2and

delina 2and

club327

airtanzania

swift

A-z Animated

A-z Animated

Rumisha

Rumisha

grace

bakery

bakery

chicago

chicago

Kalunde Band

Kalunde Band

Tuesday, May 21, 2013

RIPOTI YA KWANZA YA KIFO CHA RPC MWANZA!!


Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa
kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa
wa Mwanza ameuawa na genge
ndani ya Polisi akiwemp Kamanda
Polisi anayejulikana kwa jina la
Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti

katika ukurasa wa Mbele kabisa

Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana
na mmoja wa jambazi sugu
ajulikanaye kwa jina la Edward
Malele kujisalimisha ktk vyombo
vya ulinzi na kutoa siri zote.
Jambazi huyu aliombwa wa genge
ndani ya polisi kushiriki katika
mpango wa kumwua kamanda
Barlow. Akakataa kwa kuwa
aliwahi kumfahamu kwa karibu
kamanda Barlow.

Baada ya kukataa kutekeleza agizo
hilo baada ya siku chache
alishtakiwa kwa kosa la ujambazi
na kuswekwa Rumande.
Akiwa huko ndani ya wiki moja
alisikia habari za kifo cha
kamanda Barlow. Akajua akina na
Muna aliowakatalia wamefanya
kazi aliyoikataa yeye. Na alijua
yuko mahabusu kwa sababu ya
kukataa mradi huo.
Baada ya kukaa huko muda mrefu
bila shitaka kueleweka wala
mshataki wake huko Lupango
walimua kumwaichia. Akagoma
kutoka kwa sababu anajua kuwa,
kwa kuwa amepelekwa huko ili
kuficha siri hivyo, akitoka lazima
atauawa. Baada ya muda akaamua
kukubali kutoka lupango na
kukimbilia kituo cha JWTZ huko
Mwanza.

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha
na wanajeshi walimwonea huruma
wakampa Tsh 100,000/= ilie aende
Bungeni huku wakiwa
wamemkabidhi namba za simu za
wabunge 2 wa upinzani ili
wamsaidie.
Kutokana na kutokuelewa kwake
alipokuwa anashangaa shangaa
katika eneo la Bunge, alikamatwa
na polisi wanalinda eneo hilo.

Polisi hao wakapiga simu Dodoma
central na Mwanza. Haraka
haraka mwanza wakataka
arudishwe mwanza kwa kuwa ni
jambazi sugu.
Hata hivyo, kwa katika
kurupushani hiyo taarifa
zimeshameshamfikia Pinda na
Nchimbi ambapo gazeti linaripoti
kuwa Pinda ameagiza kijana huyo
apewe ulinzi na asirudishwe
mwanza.

Hata hivyo amepelekwa kusiko
julikana.
Kwa mapana zaidi soma gazeti la
Jamhuri hata hvyo linanunuliwa kwa
kasi na watu wasiofahamika.

MBEBS ALIYEKAMATWA NA WENZAKE WAKITENGENEZA FILM ZA NGONO!!

Watu sita mjini  Nakuru Kenya  wametiwa  nguvuni baada  ya  kunaswa  wakipiga  picha  za  uchi  kwa  ajili ya filamu yao ya ngono.....
Tukio hili limetokea  ikiwa ni siku chache  tu  baada  ya  kundi  jingine  la  warembo 11  kunaswa  wakifanya  mapenzi  na mbwa  huko  Mombasa....
Habari  zinada  kwamba, tukio hili la Nakuru lilinaswa na walinzi wa jengo ambalo  vijana  hao walikuwa wakilitumia kushoot video yao kinyemela.....
Wakiwa katika doria ya kawaida, mlinzi mmoja  alishangaa  kuona  nguo  zikiwa zimewekwa kando katika  floor ya  kwanza  ya  jengo  hilo  ambalo  lipo  katika  matengenezo...
Walipofanya upekuzi, walifanikiwa  kuwanasa  vijana  hao  wakiwa  katika  hatua  ya  kupigana  picha  uchi  huku  wakitomasana, wakinyonyana,  na  maandalizi  mengine  ya  tendo  hilo.....
Baada  ya kuwanasa, walinzi  waliita  polisi  na  warembo  hao  wakatiwa  nguvuni..

MAREHEMU AYOUB ALIYEPIGWA RISASI NA KUFA NIGHT CLUB JUZI: MWENYE MIWANI NA KOTI HAPA KWENYE MAZISHI YA PETER LAZARUSMUNGU AMUWEKE PEMA PEPONI!!


RIPOTI YA KWANZA YA CHANZO CHA VURUGU ZA IRINGA!!



Vurugu za leo, zimetokana na mvutano wa muda mrefu sasa ambao kwa namna moja umeelezwa kuwa umekuwa ukichochewa sana na mbunge wa Iringa, Peter Msigwa, ambaye ametuhumiwa kuendekeza zaidi maslahi yake ya kisiasa, badala ya maendeleo.

Kwa mujibu wa kumbukumbu zilizopo, miezi kadhaa iliyopita, madiwani kupitia kikao chao ambacho mbunge huyo ni mjumbe na alihudhuria, walikuwa wamekubaliana kuwa wamachinga hao watafutiwe sehemu nyingine kwa ajili ya kuendesha shughuli zao kila jumapili.

Chanzo cha kuhamishwa kwa wamachinga hao toka eneo la Mashine Tatu, kinaelezwa kuwa ni kutokana na ukweli eneo hilo lilikuwa linatakiwa kuachwa wazi kwa minajili ya kuwezesha ukarabati wa eneo hilo ambalo limekuwa korofi na hivyo kusababisha ucheleweshwaji wa ujenzi wa barabara ya Iringa Dodoma, mradi ambao umeshika kasi hivi sasa.

"Haya yalikuwa maamuzi ya Baraza la Madiwani, ambayo yaliwasilishwa kwa wamachinga hao na walikubali kuhamia eneo la Kitwilu, ambako walifanya biashara kwa majuma kadhaa, kabla ya kuanza kulalamikia ugumu wa biashara utokanao na kukosekana wateja na uduni wa miundombinu hasa ya kiafya" kimeeleza chanzo chetu kutoka eneo la tukio.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya hapo, wamachinga hao walikubaliwa kuhamishiwa sehemu ya Mlandege, ambayo iko kando kidogo ya mji. Huko walifanya biashara kwa muda na kukawa na ukimya hali ambayo iliashiria kuwa wameridhika na wangeendelea kufanya biashara zao huko.

Hata hivyo, katika hali ya kushangaza, inaelezwa kuwa katika moja ya mikutano yake, mbunge Msigwa, aliwaambia vijana hao kuwa warejee katika eneo la Mashine Tatu, kwakuwa yeye ni mbunge wao na kwamba halmashauri haikuwa na haki ya kuwafukuza mahali hapo.

"Hili ndilo linalolalamikiwa na wananchi na wanamtuhumu waziwazi mbunge kuwa amechangia sana machafuko ya leo. Yerye ni diwani kwa nafasi yake, anaingia vikao vya Baraza la Madiwani, anajua kile walichokuwa wameamua hapo awali, haieleweki imekuwaje tena akarejea na kuanza kuwatangazia wamachinga kurudi eneo ambalo awali walitakiwa kuondoka" amesema mwananchi mmoja aliyeongea na mwandishi wa habari hizi.

Kufuatia hatua hiyo, manispaa ililazimika kutoa tamko la kuwakataza wamachinga kurejea mahali hapo, hatua ambayo inaelezwa kuwa haikuweza pia kuafikiwa na mbunge, ambaye alirudia tena kuwataka wamachinga kurudi Mashine Tatu, kufanya biashara zao.

"Manispaa kwakuwa inajua kuwa ilishatoa tamko ambalo hata mbunge alihusika katika kuliandaa la kuwataka waondoke hapo, iliweka matangazo ya kuwakataza kufanya shughuli zao hapo, lakini pia kuweka ulinzi ili kudhihiti wale ambao wangekiuka agizo halali la kimamlaka, na walipokuja kufanya biashara leo, ndio ikawa kama hivi" ameeleza mwananchi mmoja toka eneo la tukio.

Mbunge amekamatwa?
Kwa mujibu wa taarifa ambazo zilikuwa bado hazijathibitishwa, mbunge Peter Msigwa, ambaye alikuwa akishiriki katika hafla ya kuchangia Harambee katika chuo kikuu cha Tumaini, alitembelea eneo la tukio hilo lakini ghafla akapotea tena kurejea Tumaini.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa, mbunge huyo alikuwa amejisalimisha kwa Jeshi la Polisi baada ya kuambiwa kuwa anatafutwa kufuatia kuhusika kwake kuchochea vurugu hizo.

MJUKUUU WA RAIS WA ZAMANI MBARONI!!

FAMILIA ya Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi imejikuta matatani kufuatia nyumba namba 13, kitalu 33F iliyopo Mtaa wa Mwinjuma, Kinondoni, jijini Dar anayoishi mjukuu wake, Abood Hassan Mwinyi kupigwa kufuli kwa amri ya mahakama.
 
Tukio hilo lilijiri saa 6:11 Jumamosi ya Mei 17, mwaka huu ambapo ilidaiwa Abood anaishi kwenye nyumba hiyo na mama mkwe wake bila uhalali. Edward Francis Bongwe ni mtoto wa aliyekuwa mmiliki na ndiye aliyeipiga kufuli nyumba hiyo akiwa ameongozana na Mjumbe wa Nyumba 10, Shina Namba 16, Zubeda Mrisho na Hariri Mohamed  anayedaiwa kuimiliki nyumba hiyo kwa sasa ambaye aliinunua kwa marehemu mzee Francis Mawenge.
 
Habari zinadai awali, mbali na Abood, mtoto wa Mzee Ruksa aitwaye Abbas naye alikuwa akiishi katika nyumba hiyo lakini baada ya kuuzwa kwa Hariri na kutakiwa kuhama, alitii agizo mapema kwa kwenda kuishi sehemu nyingine. Novemba 7, mwaka 2011, Abood na Abbas walipewa notisi ya siku 90 kuhama katika nyumba hiyo chini ya Kampuni ya Uwakili ya LRK Chambers kupitia wakili wake, Richard Mmbando.
 
Barua hiyo yenye kumbukumbu namba LRK/GDM/NTC/0.045/011 iliwataka wawili hao ifikapo Februari 6, 2012 wawe wamehama lakini mpaka sasa Abood anaendelea kuishi humo huku akitambua kuwepo kwa barua hiyo.
 
Siku ya tukio, Edward ambaye pia ni msimamizi wa mirathi ya marehemu mzee Francis, akiwa ameongozana na Hariri na mjumbe, walimkuta mama mkwe wa Abood, Eshe Yassin ambaye alikuwa amembeba mtoto mchanga. Alipojulishwa lengo la ujio huo, mwanamke huyo aliwazuia kutofunga kufuli mlangoni kwa vile hawakuwa na pa kwenda.
 
Alipoona hasikilizwi, Eshe alimpigia simu Abood na kumweleza kinachoendelea ambapo ilipofika saa 5:53, Abood alifika kwa kasi akiwa na gari dogo lenye namba za usajili T 572 BZU.
 
Hata hivyo, alishindwa kuingia ndani na gari hilo kwa sababu geti lilishapigwa kufuli. Akashuka na kuingia ndani ambapo alikuja juu baada ya kukuta zoezi la kupiga kufuli milango ya ndani likikaribia kuanza.
 
Hali ilikuwa tete na kukatokea vurugu kidogo baada ya Edward kumwamuru Abood kuhama muda huo ambapo kijana huyo alikataa kufanya hivyo, kitendo kilichoifanya familia ya marehemu mzee Francis kumfikisha mjukuu huyo wa rais mstaafu Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar.
Alifunguliwa kesi ya jinai yenye Kumbukumbu OB/RB/8741/2013 KUJIPATIA HUDUMA KWA NJIA YA UDANGANYIFU.
 
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi alionekana kituoni hapo muda mfupi baada ya Abood kufikishwa ikisemekana alitaka kujua kilichokuwa kikiendelea. Kwa upande wake, Abood alipohojiwa na gazeti hili kutaka kujua kwa nini aliendelea kuishi katika nyumba hiyo wakati barua ya wakili ilimtaka awe ameondoka tangu Februari 6, 2012, alisema ana kila kitu, yaani vielelezo vya kumfanya aendelee kuishi. Hata hivyo, hakuvionesha!

Habari na Makongoro Oging wa GPL

MTANGAZAJI ALIYERUKIA TRENI YA VURUGU IRINGA ALIPOPEWA KIPIGO KITAKATIFU!!

 Watangazaji  wa Nuru  FM kutoka  kushoto Shadrack Mwansasu  na  Yusta  Msowoya  kulia  wakimpa pore  mtangazaji mwenzao Husein Farahan ambae alikamatwa na poli
si wakati akielekea kazini na kuchezea  kipigo na kuwekwa  rumande.
 Mwili  wa mtangazaji Husein Farahan  ukiwa  umevimba baada ya  kichapo kutoka kwa askari  wa FFU.
 Kichapo  kilikuwa kikali  kweli asimulia mtangazaji huyo
MTANGAZAJI wa kituo cha Nuru FM, Husein Farahan amesimulia kilichomkuta  kuwa  alikuwa katika usafiri na boda  boda na kusimamishwa na polisi kabla ya  kuchezea kipigo.
Farahan alisema kuwa alikamatwa  eneo la Mshindo baada ya askari hao kumsimamisha na kuanza  kutembeza  kipigo na kuwa amepatwa na majeraha mgongoni kutokana na kupigwa  virungu mtindo mmoja.
KAMANDA wa  polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda amesema  kuwa  mbali ya mtangazaji huyo kukamatwa  pia wapo askari  polisi  waliokamatwa kutokana na kutofahamika na kuwa askari hao ni  wanachuo ambao  wapo mjini hapa kimasomo japo  kwa  sasa  wameachiwa  huru.
Kamuhanda amesema  kuwa  waliokamatwa  hadi saa 3 usiku  walikuwa ni  watu  zaidi ya  100 na  kuwa baadhi yao  wameachiwa na  wanaoendelea kushirikiliwa ni 80 na kesho asubuhi  watafikishwa mahakamani.

Monday, May 20, 2013

MAONYESHO YA VYUO VIKUU DIAMOND JUBILEEE!!


KUMBE HATA MAJUU KUNA WASANII MBURULAZZZ!!

clip_image001Ni zamu ya Karruche sio Rihanna demu wa zamani wa chiss brown, Picha hiyo ya makalio pia inaonesha Sura ya Chriss Brown akiwa karibu na makalio a demu huyo.clip_image001Hivi karibuni Rihana aliweka picha yake ya makalio yakiwa wazi katika ukurasa wake wa instagram.

MBUNGE WA CHADEMA ASHUKIWA NA MBABES WAKE!!


Baada ya kutangaza kumpiga chini Mh.Zitto Kabwe, Loveness Diva ameamua kumchokonoa tena kwa kumkejeli kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais.....
Huu ni ujumbe wake aliouweka instagram: 
".Ivi kwa akili yako unadhani unastahili kweli kuwa Rais mteule wa taifa hili....??


"Usiponijibu nikaridhika, basi ntakuchukulia kama mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."
credit:VIJIMAMBO BLOG

MASIKINI SUPER STAR MADAME RITA!!

MASIKINI MADAM RITA, UKIMUONA LAZIMA ULIE

Na Imelda Mtema
KILICHOMPATA Madam Rita kinasikitisha! Ndivyo unavyoweza kusema ukibahatika kumuona the big boss wa Benchmark Production inayoratibu Shindano la Bongo Star Search, Rita Poulsen ‘Madam’ anayetembelea magongo baada ya kupata ajali mbaya ya gari.
Rita Poulsen ‘Madam’.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda baada ya kuwa kimya muda mrefu ikielezwa kuwa alipata ajali hiyo kitambo, Madam Rita alisema kuwa kwanza kabisa anamshukuru Mungu kwani anaamini kila kitu kinachotokea chini ya jua kina sababu yake na hata alipopata ajali hiyo alimshukuru kwa kutoka salama.
 
Madam Rita aliendelea kueleza kuwa ajali hiyo aliipata katikati ya Jiji la Dar  na kusababisha kuvunjika kwa kifundo ‘enka’ cha mguu wa kulia hivyo kumsababishia kutembelea magongo baada ya hospitali kumuwekea ‘hogo’.
Rita Poulsen ‘Madam’.
“Namshukuru Mungu kwanza kwa kunitoa salama katika ile ajali japokuwa sijapona vizuri,” alisema Madam Rita.
Mkurugenzi huyo aliendelea kueleza kuwa alipopata ajali hiyo alikimbizwa katika Hospitali ya Muhimbili kwenye Taasisi ya Mifupa ya Moi lakini hali ilipokuwa  mbaya alihamia katika hospitali moja ya Kichina ambapo kwa sasa amepata nafuu.